Sitopenda tena labda dunia iwe pembe nne.

Duh Form four?? Hapo kuna uzinzi tu. Jaribu bahati yako Kijana wangu
 
na wababa wengine wanatafuna binti zao kumbe wameathirika
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata nafasi za kazi haziombwi mwaka mzima.. huyu anadalili hatavuka mwaka.. maisha ya mtu mtongozo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waiter lete laini
Kuna mahali anakosea alete namba nimtongozee
 
Tena mwanaume na hisia zao za uamsho sekunde tuu hahahahha ana utani huyu mapenzi yanahama bana
 
 
Haya ni maneno tu.
Binafsi nilishaapa na kuwa na msimamo mkali kuwa sitopenda tena milele lakini sasa hivi nipo crazy in love hadi nimesahau yote.
Never say never, Mungu na akupe wa kufanana nae...
Amen.
 
hakukuwa na umuhimu wa kutangaza hali za afya ya wazazi wake, pia tambua kumpenda huyo binti haina ulazima wa yeye kukupenda pia na la mwisho kwako acha tabia ya majivuno.
 
Siku hizi sichangii nisje nikakamatwa, ila huu uandishi wako mbovu umenishawishi nikwambie, kajiendeleze kusoma hata QT yaani form one mpaka form four miaka miwili tu, itakusaidia.
 
Unaumia kutokupendwa,tafta mkwanja atakuja mwenyewe tu,dawa ya mapenzi ni pesa kiboko yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…