ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,848
Acheni ujinga wenu huu. Tafuteni wake muoe. Kama huna mke huwezi kuwa na akiliZamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.
Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.
Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.
Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.
Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani
Cha msingi ni kuwa na ela tu.
Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.
Ila kwa sasa BADO SANA.
Kinyonge sana sister 😂Haina shida wataoa wengine.
😅😅Kinyonge sana sister 😂
Wanakwepa majukumuMnaogopa majukumu
Ndugu usiseme hivyo tafadhali, ipo siku hao unao kunywa nao bia hawatakuja kukusaidia, ipo siku hiyo pesa haitaweza kuwa nunuwa watu waje wakufute machozi wakati unahitaji faraja ya mwandani wako, iko siku hiyo pesa haitaweza kukusaidia kukutoa ndani wala kukusogeza pindi mwili wako hautakuwa hauna nguvu, nikuombe tu umwombe Mungu wako akupe hekima na busara ktk hilo la kuoa.Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.
Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa.
Binafsi sijaona sababu ya kunifanya nioe. Rafiki zangu waliooa kila siku wananiambia matatizo wanayokumbana nayo. Leo hili kesho lile.
Haya basi usiseme sitaki kuoa kisa hizo shida lakini pia raha zao, raha wanazopata kwenye ndoa hata mimi nisiyeoa naweza kuzipata.
Sijui wanawake wamejirahisisha au ndo usasa? Naona vitu vimekuwa tofauti na zamani
Cha msingi ni kuwa na ela tu.
Ela ndo kila kitu ukiwa nazo utapata kila kitu anachopata mwanandoa tena bila karaha zake. Binafsi sijioni nikioa labda miaka inavyozidi kwenda nitabadili mtazamo wangu.
Ila kwa sasa BADO SANA.
Zaidi ya sanaWanaume wa JF wana stress za ndoa
Kataa ndoa .... Hatuna stress ni uhalisia ... Vijana kataeni ndoaWanaume wa JF wana stress za ndoa
Kama ulimpata kwa ajili ya pesa zako sasa pesa zimeisha nini kitambakiza?Ila sikuhizi ukipata shida ndoani mwenza badala ya kukupa kampani apite nawe shidani na Faraja tele yeye ndo hukukimbia mazima.Sijui ndo shetani kashatawala walimwengu? Daaa
Hujaoa lakini unajua mambo mazuri ya ndoa za zamani. Uliyajuaje?Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa.
SahihiEndeleeni kuzalisha nje badae mje muwaponde humu single mothers wa watu...kuoa au kuolewa utabaki kuwa na heshima yake hata mje maelfu kusema ndoa sio jambo jema..kuna kazi zingine mtazikosa au vyeo mtavikosa kisa tuu huna ndoa ya kisheria.
Ndugu, chochote kisicho na thamani/umuhimu ubongo wetu umeumbwa kupuuza na kusahauKataa ndoa .... Hatuna stress ni uhalisia ... Vijana kataeni ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app