Wewe sidhani kama ni mteja wa hiyo party! Wanao kwenda kule huwa hawa doubt kama unazo zionesha! Diamond ni msanii pekee ambaye hata akiimba na play back una hamasika kuendelea kumsikiliza! Tanzania hii msanii pekee ambaye akiimba live utapenda arudie hata mara kumi ni Christian Bella pekee na Barnaba wengine ni wasindikizaji!
Kwa hiyo kama ulishawai kuhudhuria show hata moja ya Diamond huwezi kumdoubt hata akiimba kwa play back!