site ya biashara inakodishwa Arusha. ni site nzuri yenye nyumba ndogo self ya two bed room, sitting room, jiko,choo, bafu na store. pia ina jengo dogo la gorofa moja halijakamilika (under construction) na pia kuna uwanja wa michezo (open space). ni site muhimu sana kwa biashara ya shule, daycare, hospital, lodge etc. ipo sanawari ya juu karibu na barabara. Kodi ni maelewano. kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 0789543 339