Sitaki viporo.

DEVINE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
536
Reaction score
87
jamaa mmja alkwa ametoka morogoro kijijin alpofka dar aliingia kwenye bar moja na kuagzia soda mhudum akamletea soda ya bardi alpomuuliza mhudum mbna soda ya bard akaambiwa ilikuwa kweny frij tang jana yle jamaa akang'aka "haiwezkanmnipe kiporo yan mmenpa soda ya jana mnataka nivimbiwe? Hapa ndipo unapata picha kuna sehemu TZ bado hawalijui JOKOFU,iv sababu ni nini?
 
Alikuwa mgeni wa mambo ya Jokofu, wahenga walisema 'Kuku mgeni hakosi kamba mguuni'.
 
hahahaahahahahahahaahahahah...... Kweli hili ndo jukwaa la joxx
 
Kwel kwanini wampe kiporo?
 
Kwani kijijini alikotoka kulikuwa na umeme?
 
teeehe teehe teeeh...............duuuuuuuhhh,kubwa kuliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…