Ndio. Atheist anaweza oa yeyote kwa njia zozote (salama). Ungekua Muslim ndio kungekua na issue, but atheist!!!! Sijui ni nini kinakufanya usioe kanisani coz hakuna rules zozote kwa atheist. Atheist like a chameleon. Atheist anajiamulia mwenyewe. unapojaribu Ku interrupt na watu wenye imani zao unatakiwa kuheng na upepo. kuoa kanisani ni kitendo cha masaa machache tu na wala hakiwezi kukutoa uathist wako. labda useme kwamba unaogopa may be unajihusisha na ushirikina! mganga alikupa hilo sharti or huna nia ya kuoa mtu mmoja.
Ndugu yangu ss wanadam yupo hapa dunian kwa malengo maalum na kubwa ni kumuabudu mungu na dini ndo njia ya mbinguni. Ushauri wangu kwako 1.acha uzinifu , kuwa mwanadini kisha oa. Mungu atakubariki.