Sisi Sio Malaya wala Madadapoa


Kwa mfano rahisi, wewe mpaka sasa umeshabadilishwa na wanaume wangapi ukimtoa Mentor??
 
Last edited by a moderator:
Kwa mfano rahisi, wewe mpaka sasa umeshabadilishwa na wanaume wangapi ukimtoa Mentor??

bAbu babu babu babu Asprin ..mjukuu wako mtiifu simjui binti bado...iweje aniweke kwenye mfano kama huu lakini!??
 
Last edited by a moderator:
Shida ni kuwa mademu wa siku hzi wanamwamini kila anayempga verse!
 
Pole ila mwanaume mpekupeku anaonekana ila huwa twafumba macho.Kuna thread nimesoma inasema macho husema ni kweli mtu anapokuambia jambo muangalia machoni kwa ufasaha utaelewa/utaona kitu.
 
sista malaya na mamadadapoa ni akina nani hao
unaweza nisaidia job desc zao mpenzi

NANAANI KAKWAMBIA UKICHUMBIWA LAZIMA UOLEWE ..NA UKIOLEWA NI LAZIMA UACHIKE???

Dada zetu huamini ukifanya RESERVATION lazima USAFIRI.......
 

Ukishindwa huko unakuja kwa Baba V hapo hutaskia ukiitwa Dadapoa
 
Last edited by a moderator:
bAbu babu babu babu Asprin ..mjukuu wako mtiifu simjui binti bado...iweje aniweke kwenye mfano kama huu lakini!??

Wewe acha kutudanganya bhana... umewekwa frontline si kwa bahati mbaya...... c.c Sista , ODM Babu Asprin....
 
Last edited by a moderator:
Dada zetu huamini ukifanya RESERVATION lazima USAFIRI.......

hahahaaaa AWAJUI KUNA DLY DUE TO LTE ARRV /TECHNICHAL NA HATA IKISHINDIKANA

CXD KABISA WITH NO REFUND NA KAMA AWAAMAINI
WATEST NGURUMO KAMA FASTJET WATAONA UTAMU WA ROSE MHANDO
 

hahahahahahahahahahahaha mwenyewe umeona umejipangaaaaaaaaaaaaaa!!! hahahahaha wengi wenu hasa mabint wadogo ni kunguru huwa hamfugiki
 

Basi hutakiwi kufanya nao mapenzi kabla ya ndoa
 
Ukishabadili wanaume wawili-watatu basi anabadilishwa jina unaitwa malaya hata kama hujiuzi kitaa. Naongelea decent girls

Nadhani neno malaya mnalitumia vibaya kwani nijuavyo mimi malaya ni yule anaekua akishare mapenzi na watu tofauti kwa kuwapanga kwa nyakati tofauti na siyo yule anaeachika na kuwa na mwingine
 
ukweli ni huu wanawake wengi siku hizi ni MALAYA sorry to say. wanaume wengi ambao hawajoa hadi sasa wataoa malaya tu.Ngumu kumesa!
 
Kweli tatizo si kubadili ila ni kuwa na multiple partners (a.k.a mtandao)


 
Tamaa ndio sababu ya yote kuitwa Malaya. Unataka uwe na mzee amalize matatizo yako hapohapo unataka kuwa na kijana akukune vizuri au awe na Good looking.
 
Sikila mahusiano mwisho wake huwa nikufunga ndoa. Kuna haja yakulifahamu hili pia.
 
Tatizo hamna msimamo+njaa ya fedha=umalaya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
...kiu na uridhisho wa mapenzi ndio unaofanya nafsi ya binadamu isichoke kutafuta mgegedo
 
ukweli ni huu wanawake wengi siku hizi ni MALAYA sorry to say. wanaume wengi ambao hawajoa hadi sasa wataoa malaya tu.Ngumu kumesa!

and it is very fair kwasababu na wao ni m.a.l.a.y.a pia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…