Sisi Ajira mpya Morogoro DC mpaka leo hatujalipwa hela za kujikimu na tunamaliza mwaka kazini pamoja na maelekezo ya waziri TAMISEMI, bado maafisa Utumishi wamegoma.
Naomba mtupazie sauti ifike Serikali Kuu wajue Watumishi tunalia huku.

Tamisemi ni 'laana'. Ni vile tu wengi tumetokea familia duni. Ila Tamisenga sio sehemu ya kuajiriwa kabisa.
Majungu, fitna, uzandiki, husda na ulozi vimejaa mno huko.