Hahaha.Inakua hivi, Asprin amelala nje. Kwa hasira Nina duka ofisini Nina Hadith is Shunie. Shunie ananipa moyo siku inakwisha. Ukifika nyumbani unakuta Asprin amepika chakula na kuna chupa ya wine. Anasema mama nilipiga K-vant wakati ninaangalia match ya Liverpool nimeamshwa asubuhi na mwenye pub.
Shunie anajua bado kuna waka moto huko nyumbani anamhadithia Kidawa lakini anamwambia iwe siri. Kidawa akiwaona anajua unapitia mengi kumbe wewe ulisha yasahau.
Huwa hawasemi kwa ubaya ila wanapashana tu habari kuwa ndoa ya mwenzetu iko ICU kumbe hata Emergency Department haijafika.
Hizi ndo salamu za mwaka mpya?Ukiwa na rafiki mwenye mke au tu mahusiano yale ya kushibana ukajidanganya umwambie siri yako ataenda kumwambia mkewe.
Sijui kuna kaugonjwa gani ka wenza wakiishiwa stori wanaanza kupiga walizokutana nazo mchana. Basi huyu mke naye anashosti wake walioshibana wanaoshare hadi stori za maex na michepuko. Huyo shosti naye atakuwa na shosti wanayeshibana...hadi kufikia hapo siri yako ishafichuka.
Hapa najua atanielewa saana Sky Eclat. Kaizer akimwambia siri Asprin basi Asprin akishashiba chakula ile anajiandaa kula chakula kilichoandaa chakula atamsimulia mwaandaa chakula Sky Eclat. Sky naye ataenda kumweleza shosti wake wa tandale naye yule wa tandale anashosti.
Unanichafua? Ni lini nshawahi kulala nje wakati kuna magestihausi kibao?Inakua hivi, Asprin amelala nje. Kwa hasira Nina fika ofisini Ninamhadithia Shunie. Shunie ananipa moyo siku inakwisha. Ukifika nyumbani unakuta Asprin amepika chakula na kuna chupa ya wine. Anasema mama nilipiga K-vant wakati ninaangalia match ya Liverpool nimeamshwa asubuhi na mwenye pub.
Shunie anajua bado kuna waka moto huko nyumbani anamhadithia Kidawa lakini anamwambia iwe siri. Kidawa akiwaona anajua unapitia mengi kumbe wewe ulisha yasahau.