Siri za wanaorudi CCM toka upinzani zavuja

Utapasuka roho bure siasa ni maslah kama hujui fikiri
hata tajiri anakimbilia siasa kwa kigezo cha kutetea wanyonge kumbe njia ya kujizidishia alichonacho
 
Rais ni mtu mkubwa sana kufikia na kuanza kushawishi wanachama wa vyama vingine hasa ukizingatia pale alikuwa akiongea kama mtawala na mwenye fursa zote.

Hoja ya kuachiana nyadhifa na hata huko CCM si ya ki democrasi imejaa figisu nyingi kuliko uhalisia . JARIBU KUUTAKA UENYEKITI NDO UTAKIJUA HICHO CHAMA
 


Ni vema kama hujuwi jambo ukauliza wenzako kabla ya kukurupuka kama alivyokurupuka huyo unayemuabudu.

CCM iliyoasisiwa mwaka 1977,tangu kuasisiwa kwake imeongozwa na wenyeviti 5.CHADEMA iliyoasisiwa 1992,tangu kuasisiwa kwake imeshaongozwa na wenyeviti 4.Kati ya CCM yenye miaka 39 na CHADEMA yenye miaka 24 ni ipi yenye uwiano mzuri wa kuachiana madaraka?
 
Mtoa mada umejitahidi sana kutoa mada kemkem zenye malalamiko,kama lembeli yeye mwenyewe kama hana mpango wa kurudi asingeudhuria mkutano wa raisi na asingefika uwanjani. sio njaa sio shida kuamka leo ukaamua usile samaki ukaamua kula Kuku,So mwambie mbowe afanye utaratibu wa kuanzisha viwanda,aanzishe mashamba ya uzalishaji,mifugo awaajiri vijana watampa surport kwenye shughuli zake za kisiasa
 




Yawezekana upo hapa jukwaani kwa bahati mbaya,kuanzisha viwanda na mashamba ili kutoa ajira kwa vijana si jukumu la chama cha siasa.Hata hiyo ccm unayoishabikia haijawahi kufanya lolote kuwawezesha vijana wa Taifa hili kujiajiri,hivyo unapojenga hoja jaribu kujenga hoja yenye mantiki itakayoakisi ukomavu wa akili yako badala ya kutuletea "vihoja" hapa jukwaani.
 
Viongozi wengi wa Upinzani ni zao la CCM .... sasa sijui unataka kutuambia nini hapa!!??

Statistically, haiwezekani CCM ikawa inatoa viongozi bora halafu Upinzani wakakosa kupata viongozi bora wakati watu wote ni Watanzania, wamezaliwa, kukulia na kusomea Tanzania. Haiwezekani wakawa tofauti ....... kinachowatofautisha ni upande walioko tu!!
 
Kifupi huyo Lembeli ni Msukuma mwenzake. Kwa Uwezo wake na kabila lake naamini angekuwa Waziri wa Mali asili kama angebaki CCM. Angepata viti maalumu then Waziri. Ila kwa sasa atapata bado nafasi tu nzuri akirudi kundini
 
Wewe ni mmoja wa watanzania wanaopotoshs vijana wa kitanzania.Naamini wewe ndio moja wale wanao waandamanisha vijana nna kuwapotezea mda kwa ubinafsi ulionao.Unasema Chama cha siasa hakitoi ajira angalia akina mbowe na wenzake hao makampuni yao kila siku yanaingiza mamilion ya faida hata wakati mwingine kwa kukwepa kodi.Wewe unang'ang'ana na kupotosha kila kukicha.Mwisho wa siku wanabaki kuws maskini ..ogopa kutumia watanzania wenzako kujinufaisha.wafundishe watu kuvua samaki wale sio kuwapa watu samaki wale siku ukiwa haupo wanalala njaa.Acheni kuabudiwa nyie ...
 
sasa si bora huyu anamshawishi hadharani wote mnaelewa kashawishiwa na kukubali kuliko baadae ahamie kimya kimya muanze kusema ccm imewahonga..........
 
Unapoliona jibabaa la miraba saba linalilia kuramba matapishi yake alioyacheuka , ujue si bure kuna jambo-iko namna
 




Ngoja nikusamehe bure tu maana unatia huruma.
 
DUH! MUVI NDO LINAISHIAISHIA HIVYO!
 
USALITI ULIOVUNJA REKODI NI ULE WA KIBADILI GIA ANGANI, ANAYEBISHA NA ABISHE!
 
Ukiwa na kamanda msaliti kama wewe ulivyosema basi hakufai. Ila MI naona lembeli hajakosa hapo maana yeye anahaki ya kwenda apapendapo mi Kwa mtazamo wangu CDM ndo wafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…