The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 217
Kwani wewe ni nani alikufundisha mapenzi mpaka ukaweza kuishi na huyo mke wako kwa miaka uliyoweza kuishi naye ? Au ni nani aliyekwambia umpende yeye na usimpende mwingine ?
Kama jibu ni hakuna utagundua kwamba hili jambo ni natural wala halina formula, hence halina historia, chanzo wala muanzilishi.
Ila kama swali ni siri ya kudumu katika mahusiano (which is not necessarily the same na mapenzi) ni UVUMILIVU na UPENDO
Kwani wewe ni nani alikufundisha mapenzi mpaka ukaweza kuishi na huyo mke wako kwa miaka uliyoweza kuishi naye ? Au ni nani aliyekwambia umpende yeye na usimpende mwingine ?
Kama jibu ni hakuna utagundua kwamba hili jambo ni natural wala halina formula, hence halina historia, chanzo wala muanzilishi.
Ila kama swali ni siri ya kudumu katika mahusiano (which is not necessarily the same na mapenzi) ni UVUMILIVU na UPENDO
Inatokea kwa kila mtu mkuu isipokuwa kwa wale naweza sema wenye matatizo hasa ya kisaikolojia. Ukiniuliza nilianzaje mkuu ni kwamba it happens nilipoanza kuwa matured kuwa na feelings ambazo zilifikia wakati fulani kuumia nilipopishana na nilompenda. Bado sielewi hasa what real happens behind love. But nashukuru kwa jibu
chemistry ndo hyo ht 6 months nyingi inafifia,u need more than thatOkay Love / Upendo, Mapenzi (na sio mahusiano) ni Chemistry.., yaani chemical reaction inayotokea kwenye Ubongo. Mara nyingi inaanza kwa Lust (kutamani) Attraction (Kuvutiwa) na mwisho Attachment ingawa sio lazima upite kwenye stages hizo zote, na sababu ni Chemistry na si jambo la kuamua tu kwamba nianze au niache utaona kwamba sio jambo la kufundishwa wala kulazimishwa it just happens. Labda kwenye kudumisha ndoa / mahusiano ni mtu tu kujua jinsi ya kuishi na huyo mwenza wake (kuna watu wengi wanapendana sana ila hawawezi kuishi pamoja kutokana na tofauti au kukosa uvumilivu)
Kusikilizana - namaanisha msikilize wife nayeye akusikilize pia maana wengine hawapendi kusikiliza wake zao, kujali familia-hapa naongelea kufaham familia yako inahitaji nini wamekula nini na wameshindaje? Amani - namaanisha kuondoa hofu za kijingajinga wife akitoka kidogo mara umemtafuta simu ikiingia mara umekagua, Uaminifu-hakuna kubwa na zito kama hili kuacha kabisa MICHEPUKO, zawadi ndogo ndogo umerudi home una parcel ata ya apples au chocolate sometime piza au kuku wa merry brown (mie penda this kuku jamani watamuje) yaani hapo amani itakuwepo kabisa, na upate muda wa kuwa nao sio kurudi home saa 5 usiku kutoka saa 11 alfajiri haifai, usisahau kusaidiana kazi ndogo ndogo yaani wife anapika basi wewe unasimamia homework ya watoto sio mpaka wife amalize kupika ndio aje kusimamia homework jamani inachosha, ukiyafanya hayo ndoa yako itakuwa mpya kila siku
Hivi kama nilikupenda mwaka jana siwezi nikakuchukia leo ?, au mapenzi hayakui au kufa ?, au nikikuchukia leo siwezi nikakupenda kesho ? Point yangu ni kwamba kufifia kwa mapenzi haimaanishi kwamba mwanzo sikukupenda. Ndio maana nikasema kwenye swali la mdau mapenzi na mahusiano are not necessarily the same. Kama swali anauliza jinsi ya kudumisha mapenzi yasiishe na kuendelea kukua that is another Topic entirely na hapo ndio mtu unaweza kumshauri. Ila kupenda its just chemistry which happens within ones brain.chemistry ndo hyo ht 6 months nyingi inafifia,u need more than that
Kwa mujibu wa maelezo yako, ni wazi unamanisha wanaume ndio tatizo ktk ndoa!!!
Kwa mantiki hiyo unakesi ya kujibu, na kwa kutaka kusuluhisha kesi yako, JILETE MWENYEWE PIEMO tuyamalize kimya kimya!
Na welewako usije!
Okay Love / Upendo, Mapenzi (na sio mahusiano) ni Chemistry.., yaani chemical reaction inayotokea kwenye Ubongo. Mara nyingi inaanza kwa Lust (kutamani) Attraction (Kuvutiwa) na mwisho Attachment ingawa sio lazima upite kwenye stages hizo zote, na sababu ni Chemistry na si jambo la kuamua tu kwamba nianze au niache utaona kwamba sio jambo la kufundishwa wala kulazimishwa it just happens. Labda kwenye kudumisha ndoa / mahusiano ni mtu tu kujua jinsi ya kuishi na huyo mwenza wake (kuna watu wengi wanapendana sana ila hawawezi kuishi pamoja kutokana na tofauti au kukosa uvumilivu)