Habari ya asubh wakuu humu ndani! Mm namshukuru Mungu dunia inavozunguka. Pole yenu nyie mlokesha na kukosa usingizi. Ila pongezi kwenu nyote mnaochangia humu. Ndo ujenz wa jamii huu, wengne wanajenga na wengne wanabomoa ili muradi tuko kweny msafara. ILA WENGI WANAFANYA VEMA. Xo, let go.
Mtoa mada ni mgeni humu, namsoma kam mi std 7 waliosoma chin ya mkorosho. Kizuri ni kwamba anajaribu kujieleza, na heri yake pia kampata mkuu Viol, wameelewana. ATASAIDIWA.
Weng wape. Lisemwalo lipo. Shyland uschoke na hawa vijana japo wasemayo ni kweli tupu. Hiki ni kizaz cha wasomi...hata ukicheka au kuongea bado watakusoma tu. JIFUNZE HUMU HUMU..utakuwa vizuri kama wao.