Pole mkuu,nenda tu kwa daktari wanawake wa hivo hata hutaenjoy mapenzi
Pole mkuu,nenda tu kwa daktari wanawake wa hivo hata hutaenjoy mapenzi
we umefanyaje ukaelewa aliyoyaandika?
We katoto? Mmh umeweza kusoma na kuelewa hapo ushakua wewe
we umefanyaje ukaelewa aliyoyaandika?
Hehehe
Nishakua sasa hivi
Mwenye uzi anauchungu kwel mpaka haoni keyboard
wengine mnakuwa na access na hii mitandao kwa vile tu mnaweza miliki simu, tab, pc nk ila suala la kusoma we jamaa sijui ulikimbia bakora au ndo akili imeishia hapo
Nakwel umekua. Nimesoma Mara tatu sijaelewa
huyo arudi tu darasani maana dah!! kama shy land vile
Jamaa kakosea kwenye typing but nia take ni kwamba girlfriend wake wakifanya tendo anaumia maana Anachubuka,kwahiyo mpaka week hadi week ili maumivu ya kuchubuka yapungue kidogo ndo anapewa
Sasa siku tano nyingi kuvumilia?
Nyingi bhana ukiwa na genye mshindo
Eeeh we unaweza kuvumilia upewe kila baada ya siku tano?
Eeeh.
.umeoa? Samahan lakini?