Mkuu Molemo Zitto kajichimbia kigoma anajitangazia kugombea Urais nini? Mbona simuoni kwenye M4C?
Mbowe yuko right na most of time he always think Big
Kuna saa najiuliza laiti Mbowe asingekuwa Mkiti huenda leo CDM ingekuwa historia.
Zitto 2015
Zitto kwa kuwa amejipanga kugombea urais 2015, usitegemee kumuona kwenye harambee za kuchangisha milion 257 ambapo zote ni ahadi isipokuwa milioni 20. Au kuzunguka kwenye mikutano isiyo na tija. Rais ZZK.
Mkuu wewe naona umeshalewa wanzuki nenda kapumzike mpaka jioni ukavizie tambi na magimbiZitto kwa kuwa amejipanga kugombea urais 2015, usitegemee kumuona kwenye harambee za kuchangisha milion 257 ambapo zote ni ahadi isipokuwa milioni 20. Au kuzunguka kwenye mikutano isiyo na tija. Rais ZZK.
Halafu ukisikiliza speech za Mbowe ukalinganisha na za yule mwenyekiti wa Chama cha Mabwepande ndio utajua CCM wapo Low. Size ya Mbowe ni ObamaKuna saa najiuliza laiti Mbowe asingekuwa Mkiti huenda leo CDM ingekuwa historia.
Ukila vya wenzako lazima na wewe Uliwe "JK"Hii nchi ni laini kama maini "Joshua Nassari"
Hii nchi ni laini kama maini "Joshua Nassari"
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.