Sio kila siku utani tu hapa

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,064
Reaction score
355
LEO NI jumapili na INJILI INAKUJIA INASEMA:-Chagueni hv leo mtakae mtumikia, mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu alie hai! Aliemtoa mwanawe afe alipie gharama za uhai wowote ambao upo hatarini kwa kutolewa kafara kuanzia mwanadam mpaka kuku! Mwana wa Mungu alikufa ili ile dhambi ya asili ambayo ni kuabudu miungu, kutoa kafara, kupigwa chale na hata kupokezana mikoba ya uganga, uchawi na ulozi ipate kufa pamoja nae pale kalvari, alipoenda kuzimu alienda kumkabidh shetani mikoba yake....asituzoee....alifufuka na ushindi mkuu ambao kwa kila amwaminie ushindi huo ni wake! Uamuzi ni wako as long as Mungu sio dikteta...ukiutaka uzima anakupa, ukiutaka umauti pia unauchukua so its just the matter of uamuzi! NA ALAANIWE AMTEGEMEAE MWANADAM KUWA KINGA YAKE....iepuke laana kwa kuacha kuitegemea mizimu, watu waliokufa, waganga na waaguzi kisha mtegemee Yesu...Simba wa kabila la Yuda...atakupa yote ktk yote! TAFAKARI, CHUKUA HATUA, YESU ANAKUPENDA! Kuwa na siku njema!
 
Tumekusikia, tumekuelewa....amina!!!
 
mzungumndari huyo unayemjibu, be watchful na id mpya
Ajihadhari na ID mpya ipi sasa kama sio hiyo ya kwako . . . .kwani Sabry001 hatumjui? We ndiye MzunguMndali umerudi na ID nyingine . . .wala usizuge kusingizia wengine! Na jana umecomment kwenye ule uzi wa Baba V nimekuchora tu. noahism angalia sana hii mutu eti ni new member . . . .khaaa!
 
Last edited by a moderator:
Kipipi kwanza mie hawa wano ibukia huku moja kwa moja sina imani nao hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…