Sinza Mori

Wakuu hivi ni kwanini Sinza Mori imekuwa ni kijiwe kikuu cha machangu?

Kabla aujajiuliza hilo mbona aujiulizi hv kwanini kinondon studio kuna maduka mengi ya kuuza nguo! Ukianzia studio kituon kata kuona ya mwananyamala,hizo zote biashara km biashara nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…