mambo wana jf jinsia yangu ni mvulana,naish dar,nimwajiriwa,dini mkristo,elimu yangu ni chuo kikuu.situmii kilev chochote wala sigara,sijawah kuoa,sina mtoto.natafuta rafiki wakike ili baadae awe mke wangu.awe mnene kias,mweupe,asiwe mrefu sana,awe naelimu kuanzia darasa vii-chuo,awe anajishugulisha na kazi yeyote.kama ww unaitaji na upo serious karibu sana ni pm nitakupa mawasiliano yangu.
ngoja waje wapo breakfast. ila tu point of correction ni vizur uwawekee umri wako maana siku izi na watoto wanataka watu wazima.
mambo wana jf jinsia yangu ni mvulana,naish dar,nimwajiriwa,dini mkristo,elimu yangu ni chuo kikuu.situmii kilev chochote wala sigara,sijawah kuoa,sina mtoto.natafuta rafiki wakike ili baadae awe mke wangu.awe mnene kias,mweupe,asiwe mrefu sana,awe naelimu kuanzia darasa vii-chuo,awe anajishugulisha na kazi yeyote.kama ww unaitaji na upo serious karibu sana ni pm nitakupa mawasiliano yangu.
Ungekuwa mwanaume ningejaribu bahati. Tatizo we MVULANA
Zipo Ofu Ondoa,