SINGLE (S) special's thread

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,961
Reaction score
80,193
uzi huu ni mahususi maana thread za wapendao kwa kipindi hiki cha valentine zimezidi sana. Sijui wanaturingishia! ENWEI: itakuwa labda mapenzi yamewanogea (kwa ambao hamyajui yalivyo, yananogaga asikwambie mtu).

Sio kazi rahisi kuwa single. Zinahitajika efforts za ziada kujipa moyo na matumain ili uweze kusonga mbele na maisha. Kuna ambao mpo single kisa mmeachika soon, wengine niuamuzi wenu, wengine mlitendwa kiasi kwamba mnaogopa kujiingiza kwenye mapenzi tena na mambo kama hayo . Poleni sana. Binafsi nipo single
ila sitafuti.

Kesho ndiyo siku yenyewe bhaana. Wenye watu wao watapeana zawadi na kuonjesha ladha zao
. Masingle wote najua hamtaenda mahali so poleni. Koh kaeni hapa mfarijiane. Pia mnaweza mkabahatishana na kuopoana humu mapumzikoni mwetu mkayajenga na kesho historia ikaandikwa upya.

Ujumbe


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…