Mm ninalea binti yangu ana miaka 8 now,nilipata ujauzito nikiwa o-level nikamsitiri jamaa asiende jela but mwisho wa siku akaniona sifai,but thank God nilifanikiwa kumaliza mitihan salama na hv ss maisha yanaendelea mwanangu kakua na anasoma shule nzuri bila ya uwepo wa baba yake
Mwenyewe sasa kibao kimenigeukia, nimekuwa single father wa watoto wawili mapacha wa kike na kiume.Nawajali na kuwapenda sana wanangu.Mm ninalea binti yangu ana miaka 8 now,nilipata ujauzito nikiwa o-level nikamsitiri jamaa asiende jela but mwisho wa siku akaniona sifai,but thank God nilifanikiwa kumaliza mitihan salama na hv ss maisha yanaendelea mwanangu kakua na anasoma shule nzuri bila ya uwepo wa baba yake
Hey brother leo umechelewa.Single Mothers mnaitwa huku aseeh
Dah..pole na hongeraMwenyewe sasa kibao kimenigeukia, nimekuwa single father wa watoto wawili mapacha wa kike na kiume.Nawajali na kuwapenda sana wanangu.
pole sana baadae atajifanya kumtafuta mtoto!Mm ninalea binti yangu ana miaka 8 now,nilipata ujauzito nikiwa o-level nikamsitiri jamaa asiende jela but mwisho wa siku akaniona sifai,but thank God nilifanikiwa kumaliza mitihan salama na hv ss maisha yanaendelea mwanangu kakua na anasoma shule nzuri bila ya uwepo wa baba yake
Mkuu Ahsante kwa mawazo yako,lakini Leo hatuko upande huo.Leo tunaongelea mapenzi yao kwa watoto wao na vile wanaavyopambana kuhakikisha ndoto za watoto wao zinatimia.i dont see any problem with single mamas as long u love each other that is matter of fact. they have samething like those who are not single mothers, i do recommend single mothers if hutaki stress juu wanajua kutulia kwa wapenz wao
Si wote aisee kuna wengine walivyowatenda wenza wao hata shetani alikaa pembeni kwa muda.Watalipwa fadhila zao na muumba
Pole mamy,una changamoto kubwa sana,kwa hilo swali unaloulizwa maana limeniliza as if ni mimi nimeulizwaSijamfunza chuki hata kidogo kwasababu nilishamuonyesha picha za baba yake na anafahamu ubin wake but swali linaloniumiza roho sana ni yeye kuniuliza mbona baba haji kunisalimia au hanipendi?huwa nakosa cha kumjibu mtoto
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Si wote aisee kuna wengine walivyowatenda wenza wao hata shetani alikaa pembeni kwa muda.