Mhhhh! Karucee hujatulia weye!!! LOL! hahahahahah....ila baadhi ya mabandiko yako ni pasua kichwa kwa kweli halafu una ile soft side ambayo huionyesha kila siku unapoandika kuhusu mama mpenzi yaani huwa inakuwa na mguso wa hali ya juu kwa wasomaji wengi hapa jamvini.

Kwenye relationship lazima ukonde mnooooooo. Unless you are a bad boy. But soft and clingy? Pasua mbaya mnoooo. teh teh. Mama bwana, she's the queen who tames this wild woman!!!