Mbona wabunge na taasisi nyingine wakienda hamsemi kwa hiyo wasifurahie mema ya nchi kwa kuwa kuna waliofeli?
Kwahiyo mumejilinganisha na wabunge?Walimu mnawadhulumu mnajinufaisha wenyewe,watoto mumewaacha hawana msaada mnaenda kujipumzisha Ngorongoro na fedha za walipa kodi!
Shame on you.
We ndo fisadi kabisa maafisa elim wakati walimu wanagoma ndo walikuwa wanawatafuta walimu waliogoma ili wajipendekeze kwa vigogo.Mnawadhulumu walimu waziwazi mkijifanya mko upande wao.Waiziiiiiichukua time utafute hotuba ya kikwete 2010 akiwatukana watumishi kisa wanadai kima cha chini cha lak 3 elf 15 alisema asietaka aache kazi. Hatuachi kaz na mwaka kesho 80per fld. Acha wale bata.
Kwahiyo mumejilinganisha na wabunge?Walimu mnawadhulumu mnajinufaisha wenyewe,watoto mumewaacha hawana msaada mnaenda kujipumzisha Ngorongoro na fedha za walipa kodi!
Shame on you.
We secretary kama siyo miss basi tena,ila wa hapo kwa mkurugenzi wote mmezeeka sana na wengi wagonjwa.Kwa nini msitumie fedha zenu mtumie za walipa kodi au ndo mna malizia siku maana mnapukutika kama mna kipindupindukwa hiyo wasipoenda ndo watafaulu 100%.unapenda kusikia mamiss tu ndo wawe wanafanya utalii wa ndani?wacha waone utalii wa ndani unataka aje mzungu kumsimulia ngorongoro kunafananaje
Wacha wale bata kazi Ngumu sana kufundisha mitoto isiyoelewa keep it Up
We secretary kama siyo miss basi tena,ila wa hapo kwa mkurugenzi wote mmezeeka sana na wengi wagonjwa.Kwa nini msitumie fedha zenu mtumie za walipa kodi au ndo mna malizia siku maana mnapukutika kama mna kipindupindu