M MWAMPULE 88A Member Joined Oct 19, 2014 Posts 6 Reaction score 1 Nov 2, 2014 #1 Leo jiona kama mida ya sakumi nikaona juu ya anga kuna mawingu ambayo yaliambatana na upepo ambao ulikuwa na manyunyu ya mvua, watu walikuwa wanajianda kupokea baraka ya mvua kumbe ni baridi na upendo wa kutosha.
Leo jiona kama mida ya sakumi nikaona juu ya anga kuna mawingu ambayo yaliambatana na upepo ambao ulikuwa na manyunyu ya mvua, watu walikuwa wanajianda kupokea baraka ya mvua kumbe ni baridi na upendo wa kutosha.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 2, 2014 #2 Hebu andika kwa kingereza labda nitaelewa au kwa kinyiramba maana sijakuelewa
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Nov 2, 2014 #3 Honey Faith said: Hebu andika kwa kingereza labda nitaelewa au kwa kinyiramba maana sijakuelewa Click to expand... Kwi kwi kwi vilee hujui kiswahili vizuri eeeehh??
Honey Faith said: Hebu andika kwa kingereza labda nitaelewa au kwa kinyiramba maana sijakuelewa Click to expand... Kwi kwi kwi vilee hujui kiswahili vizuri eeeehh??
M Matukutuku JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 269 Reaction score 126 Nov 2, 2014 #4 Ha ha haaaa mi nikajua ni mambo yetu yaleeeeee
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 2, 2014 #5 utafiti said: Kwi kwi kwi vilee hujui kiswahili vizuri eeeehh?? Click to expand... Hebu nitafsirie mwenzangu hicho kiswahili mie sijakielewa ati!!!
utafiti said: Kwi kwi kwi vilee hujui kiswahili vizuri eeeehh?? Click to expand... Hebu nitafsirie mwenzangu hicho kiswahili mie sijakielewa ati!!!
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,758 Reaction score 39,494 Nov 2, 2014 #6 Mimi nilijua mkuu umetuwekea mapicha ya watoto wa kinyaturu na kinyiramba wakiwa wanaoga mtoni....tumalizie weekend vizuri...
Mimi nilijua mkuu umetuwekea mapicha ya watoto wa kinyaturu na kinyiramba wakiwa wanaoga mtoni....tumalizie weekend vizuri...
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Nov 2, 2014 #7 Honey Faith said: Hebu nitafsirie mwenzangu hicho kiswahili mie sijakielewa ati!!! Click to expand... Nikutafsirie kwa lugha gani nyepesi kwako??
Honey Faith said: Hebu nitafsirie mwenzangu hicho kiswahili mie sijakielewa ati!!! Click to expand... Nikutafsirie kwa lugha gani nyepesi kwako??
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Nov 2, 2014 #8 utafiti said: Nikutafsirie kwa lugha gani nyepesi kwako?? Click to expand... Kingereza.......
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,896 Nov 2, 2014 #9 Siku hizi mtu hata akiona panya anakula mahindi basi mbio anakuja kuandika hapa! Iq zetu ndio zimefikia hapo
Siku hizi mtu hata akiona panya anakula mahindi basi mbio anakuja kuandika hapa! Iq zetu ndio zimefikia hapo
Enhee Senior Member Joined Sep 2, 2014 Posts 132 Reaction score 64 Nov 2, 2014 #10 kalagabaho said: Siku hizi mtu hata akiona panya anakula mahindi basi mbio anakuja kuandika hapa! Iq zetu ndio zimefikia hapo Click to expand... Yaani ovyo kabisa!
kalagabaho said: Siku hizi mtu hata akiona panya anakula mahindi basi mbio anakuja kuandika hapa! Iq zetu ndio zimefikia hapo Click to expand... Yaani ovyo kabisa!
M Mkurdistan New Member Joined Oct 26, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Nov 2, 2014 #11 Kama ndivo hivyo watanzania tunajieleza acheni wakenya waendelee kupata nafasi za kufundisha kiswahili ulaya!
Kama ndivo hivyo watanzania tunajieleza acheni wakenya waendelee kupata nafasi za kufundisha kiswahili ulaya!