Sina Pesa Na Nimeombwa Pesa

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
723
Reaction score
570
Wakuu...

Ni Hivi, Mwaka Jana Nilifanikiwa Kula BimDada Mmoja, Tulianza Kwa Kuzoeana Sana In A Week Tu Na Tukaaminiana Hatari, Nakumbuka Ilikua Siku Ya 2 Tu Kabla Nimjuee Akaniomba Tsh Laki 1, Kuwa Atairudisha Salary Ikitoka...

Asee Niliumiza Sana Kichwa Lakini Palepale Ilibidi Niwe Na Maamuzi Ya Fasta Hivyo Nikajisemea Pouwa Tu Ngoja Nimpe Potelea Pote, Kweli Mwisho Wa Mwezi Yule Dada Alinirudishia Ile Pesa Mkononi Basii Na Mimi Nikamwambia Kwa Sababu Leo Ni Weekend Tutoke Wote Tukaitumbue Hii Pesa Na Huko Ndio (Nikala Mzigo Kimasihara Kabisa)...[emoji3][emoji3]

Sasa Tatizo Linakuja Kuna Taasisi Nimejishikiza Na Kuna Kadada Kakawa Kanajipitisha Kama Week 4 Hivii Nyuma, Jana Nimefanikiwa Kupata Namba Leo Kanipiga Kizinga Cha Elfu 60 Na Anashida Nayo Sana Na Atarudisha Mwisho Wa Mwezi...

Kichwa Kinaniuma... Nijitoe Muhanga Nitumie Formula Ya Kama Yule Mwingine Au Hii Elfu 60 Nikale Pizza Mwenyewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Fanya setting ya keyboard chako..Ina insert Capital letters kila baada ya neno

Iphone Hapa Ndio Imenishinda Mkuu...

"...iphone ain't user friend..."


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Namba zake tafadhali Kuna jambo natakata nimuulize kabla sijatoa ushauri wangu mujarab
 
Mpe asiporudisha basi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…