asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Nimekupenda ghafla!!!Jambo hili mi linanikosesha amani,
nishajaribu mara kadhaa kujenga ukaribu bila mafanikio, kama vile kujizoesha atleast kuwa namtext nikiwa mbali
lakini haichukui hata wiki naacha na huwa nakuwa mzito sana kumpigia simu.
Huwa natamani sana watu wanaoishi na mama zao kama rafiki zao kwangu mie tofauti kabisa sio kuwa simpendi ila tu ule mzuka nae ndo sina hata nikiwa na shida siwezi kumshirikisha.
I love much my daddy bahati mbaya alishatangulia mbele za haki (R.i.p my lovely one)
Ushauri please nifanyeje nijenge ukaribu nae
Kaunga naomba uniambie kitu....
(Matusi na kejeli sitaki hili jambo linaniumiza mie kama hujisikii kushauri uache)
Nawatakieni weekend njema!!!!!
hivi unaweza kugombana na mama yako uchukie kiukweli toka moyoni....mi silali nacho kabisa
pole sana Evelyn Salt , mimi mama namzuka naye sana japo wakati mwingine naweza kujisahau ila bila yeye sasa hivi nisingekuwa who i am.
cha muhimu jaribu kusahau hayo ya zamani na kufungua new pages za maisha yako na jaribu kujilazimisha hivyo hivyo kujiweka karibu yake utashinda tu hayo majaribu my dia.
inawezekana kuna mambo ambayo unaamini baba yako alikuwa anakufanyia kabla hajatangulia mbele ya haki ambayo labda mama yako hakukufanyia baada ya baba kufariki au kuna mambo ambayo unaamini baba angekufanyia kama angekuwa hai ambayo mama hakukukufanyia au hakufanyii.
pia kunauwezekano hizo beliefs za bi mkubwa wako anashare na huyo mtoto mwingine unayeamini anapendwa zaidi , sasa kuna uwezekano kwanini yeye na siyo mimi ila kumbuka ukaribu hauji ghafla bali hujengwa taratibu na mwisho wa siku utajikuta she was your everything.
pole sana.:busu
Pole sana
Nashukuru sana....
ila sina hayo mawazo kuwa flani anapendwa zaidi angu, najua mummy angu ananipenda!!!!!!!!
Hey........ Copy Right Reserved!!Unigande wewe unadhani ntabanduka basi...mie pia sitanii!!! 'come zis wei' (in the words of the infamous babu Asprin)
Na wewe pia????
Mine is deeper na mbaya zaidi najua chanzo ambacho nashindwa kukisahau na kukifuta. Post ya dDa Mkubwa King'asti imenigusa sana isipokuwa tu ni kuwa pamoja na uzee huu nilonao bado...............I think I need a big therapy
Nahitaji ushauri jinsi ya kujenga ukaribu na maza angu
sio maneno ya kuzidi kuniumiza, hii situation nilonayo inatosha kuniumiza
ahsante.
Jambo hili mi linanikosesha amani,
nishajaribu mara kadhaa kujenga ukaribu bila mafanikio, kama vile kujizoesha atleast kuwa namtext nikiwa mbali
lakini haichukui hata wiki naacha na huwa nakuwa mzito sana kumpigia simu.
Huwa natamani sana watu wanaoishi na mama zao kama rafiki zao kwangu mie tofauti kabisa sio kuwa simpendi ila tu ule mzuka nae ndo sina hata nikiwa na shida siwezi kumshirikisha.
I love much my daddy bahati mbaya alishatangulia mbele za haki (R.i.p my lovely one)
Ushauri please nifanyeje nijenge ukaribu nae
Kaunga naomba uniambie kitu....
(Matusi na kejeli sitaki hili jambo linaniumiza mie kama hujisikii kushauri uache)
Nawatakieni weekend njema!!!!!
POLE SANA SANA EVE.....
Mtazamo wangu ni kuwa inaonekana una dharau.....inawezekana hujijui lakini kwa chochote ulichonacho huona wewe ndo wewe....Inawezekana hata marafiki zake mama yako yaani majirani wanaokuja hapo nyumbani wameshamueleza mama yako jinsi ulivyo/nae akakusoma akaona ndivyo ulivyo kujisikia....mama mzazi anawafahamu watoto wake vema sana kuliko mtu yeyote....
jaribu kukaa nae na kupiga nae story atakueleza jinsi ulivyo,inawezekana yeye anakueleza madhaifu yako wewe una comments sanaaa,una compare na wengine wakati muhusika ni wewe au hoji kutafuta sababu na kukuta mzuka unapotea na kubaki na Baba Mdogo ambaye hajui uchungu wako kama mama yako anarembaremba anapokuwa na wewe.... una ignore,hakuna mazazi anaemchukia mwanae at a Normal situations.
Mungu akubariki sana sana upokee positive nilichokueleza....
monaco, sometimes huwa hata sio dharau............. mwenyewe unajikuta roho inauma sana tu as to why siko karibu na my mom, but you cant help it hata ukijaribu kiasi gani. Just imagine kama kutuma sms tu inakuwa ngumu sembuse kukaa nae na kuzungumza? Mie ninaamini kabisa kuwa hili swala linahitaji saikolojia zaidi kuliko ushauri wa nadharia. Kukaa chini na kuzungumzia kwa kina nini kinasumbua. Kwa hali ilivyo siamini kabisa kuwa hajui chanzo..................... hapana. Chanzo kipo na pengine hayuko tayari kukizungumzia au hajui kama ni kitu ambacho kinawezamtenganisha na mamake. Chanzo kipo................... no matter how hard she tries to deny, but chanzo kipo na anakijua.POLE SANA SANA EVE.....
Mtazamo wangu ni kuwa inaonekana una dharau.....inawezekana hujijui lakini kwa chochote ulichonacho huona wewe ndo wewe....Inawezekana hata marafiki zake mama yako yaani majirani wanaokuja hapo nyumbani wameshamueleza mama yako jinsi ulivyo/nae akakusoma akaona ndivyo ulivyo kujisikia....mama mzazi anawafahamu watoto wake vema sana kuliko mtu yeyote....
jaribu kukaa nae na kupiga nae story atakueleza jinsi ulivyo,inawezekana yeye anakueleza madhaifu yako wewe una comments sanaaa,una compare na wengine wakati muhusika ni wewe au hoji kutafuta sababu na kukuta mzuka unapotea na kubaki na Baba Mdogo ambaye hajui uchungu wako kama mama yako anarembaremba anapokuwa na wewe.... una ignore,hakuna mazazi anaemchukia mwanae at a Normal situations.
Mungu akubariki sana sana upokee positive nilichokueleza....
kwangu mimi mama alikuwa zaidi ya mama....kifo tu ndo kimetutenganisha....ila namshukuru mungu namuona ndotoni kila siku
i don care kama ni mbaya kiimani as long it makes me happy my dear...Ooops. You need help. Sio nzuri kiafya na kiimani pia kumuota mtu aliefariki.
Mamangu alipofarimi i said a special prayer kwa ajili yake na kuomba Mungu nisimuote wala kuhusiana nae. Gal, you need to let go and accept she is gone. Ongea na mtumishi wa kiimani tafadhali, ama uende kwa ajili ya ishauri nasaha. Naweza kukuelekeza kwa dr mzuri sana anaetumia insurance cards (ila yuko handsome, tusije tukalaumiana shosti)
Hey........ Copy Right Reserved!!
Ila kwa leo acha tu mpaka kieleweke.... Go Mentor Goooo!!
Popote ulipo Evelyn Salt ........... Go Zat Wei.......... Fastaaaaaaaaaaa!!