Sina maana mbaya

cenzo

Senior Member
Joined
May 7, 2015
Posts
124
Reaction score
28
Sina maana mbaya kwa kuweka hii picha ya mtoto wa mkulima ila huwa napendaga sana mapozi yake au swaga zake yeye na wasila
 

Attachments

  • 1436770940660.jpg
    77.1 KB · Views: 509
Alisema atagombea kimya kimya na kaondolewa kimya kimya.
EL aligombea kwa makelele mengi na kaondolewa kwa kelele nyingi.
Wametoka kama walivyoingia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…