Sina hisia za mapenzi

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
688
Reaction score
549
wakuu hatimaye nimerudi tena baada ya zile mada zangu za kukuta uchafu kwenye simu ya mpenzi wangu na ile ya kutovaa pichu nimeudi na hili jingine la kutokua na hisia za kimapenzi kwa msichana..Ipo hivi
Baada ya kuchafukwa kutokana na ile ishu ya kukuta uchafu kwenye simu ya yule demu niliumia sanaa.Baada ya muda nikaanza kuwachukia wanawake na kuwaona kama chombo cha starehe tu.Sasa nimeanza maisha mapya ya kuhit and run na sitakuja tena kuwaamini hawa viumbe..Je ni sahihi kutokua na hisia na hawa watu au nifanyeje?
 
.Sasa nimeanza maisha mapya ya kuhit and run na sitakuja tena kuwaamini hawa viumbe..Je ni sahihi kutokua na hisia na hawa watu au nifanyeje?

Sasa hiyo hiti and rani unapata hisia au na yenyewe unafanya tu hivyo hivyo jogoo hajasimama!!!!!
 
Kuwa makini sana na hiyo HIT and RUN isije ikakupeleka kubaya mkuu
 
acha nazaria,,wasichana waaminifu wamejaa kibao
 
Sexual desire inakutesa.
Maana saivi umetarget kuchapa tu.
 
I don't know why nimejikuta nacheka tu. Msikilize mchangiaji wa kwanza.
 
Mwanamke ni kama nchi wapinzani na chama tawala wanamiliki so never mind.
 
Maamuzi umeyafikia mwenyewe halafu unakuja kutuuliza ufanyeje!?
 
Gharama ya kupenda kwa kutumia moyo ni kubwa mno, i wish watu wangekuwa wanapenda kwa kutumia akili kama mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…