Simwelewi

135 cry

Member
Joined
Sep 22, 2019
Posts
45
Reaction score
35
Mwanaume wangu amekua akiniimbia kuniolea mke mdogo eti mara oooh nataka kuzaa mtoto mwingne ili walingane nahuyu wamienzi miwili mara hoo sijui iliakusaidie anayumba yumba simwelewi na mara nying amekua akinitajia maex zake licha yakuto kujiona ni mzee sasa.Nikimpa ruksa yakuchepuka anakasirika nikimwambia nipo tear ukinichoka tuachane anakasirika jaman nimwelewe vip mtu kama huyu

NOTE :kanipita miaka kumi na ninampenda ila nipotear kwalolote tukiachana sawa tu maisha bado yapo ila sijui nimwelewe vepe.
Wakubwa mtu kama huyu yupo kwenye kundigan WIVU AU
 
Mkiachana unistue nikupe kampani
 
Ukiachika utoe taarifa hapa hapa mabaharia wajue
 
Acha kujitesa toa namba yako nikushauri jambo,hakika hayo yatakwisha
 
Baharia kashaharibu mahali [emoji16]


"Hapo utaskia baby I sorry hayakuwa makosa yangu ni upepo wa kisulisuli ulinipitia "
 
Kama anatimiza majukumu yake kama mme na baba, basi tulia lea mwanao ukianza kumwaza yeye utakufa kwa pressure au density.
 
Ni PM nikusaidie ufanye nn.
 
Niko tayari kupokea kijiti kwa style ya upepo wa kisulisuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…