Simulizi za adui chongo wa zanzibar!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,317
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikisikia SIMULIZI ZA HATARI ZA ADUI CHONGO WA ZANZIBAR...Nani ana mfahamu huyu jamaa atupe habari yake ? Cc to MziziMkavu
 
Ni adui wa Mungu na anamaliza watu kinoma kwa uchawi kwani hana huruma na mtu....ni rafiki mkubwa sana wa viongozi na wabunge wa CCM.
 
Ni adui wa Mungu na anamaliza watu kinoma kwa uchawi kwani hana huruma na mtu....ni rafiki mkubwa sana wa viongozi na wabunge wa CCM.

Anaua watu kwa uchawi ?
 
jamaa anajua kuua tu, hajui kitu chengine
 
Hichi kijamaa nasikikia hujifanya hakimu kwa njia ya giza umeibiwa,umegongewa,umedhulumiwa unaenda kwake unashtaki,unaulizwa masuali mawili tu ,unataka vipi afe au atiwe adabu? unamwaga mapene umemaliza kazi unasubiri kuona mbaya wako anavyohama dunia au kufedheheka!
 


Hana dawa za mapenzi?
 

Jamaa hana jengine zaidi ya kuua.

Yani hana mbadala yeye ana dedisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…