Simulizi ya kweli: Mwanamke jini

Story nzuri muda wote nimeshikilia simu tangu saa tisa uuwi. Sasa amour aliishia kumuoa nani baada ya Zena kuchukuliwa.
 
Tafadhali Mkuu hii adithi niyakweli?je kama ni yakwwli nawew ndo muhusika?kama ndio pls tuambie baada ya zena kuchukuliwa wewe maisha yako yaliendaje?je ulimuoa salama mke wako yule au ilikuwaje!!!yani tunataka sasa utuelezee ilikuaje baada ya zena kuchukuliwa maana dah inaskitishaa af siaminigi mim kuwa haya mamb yapo so pls Mkuu tupee mwendelezoo wako
 
Mkuu nikweli unachosema lakin bado mim najiuliza je hi story niyakweli?kama niyakweli basi amuru atkuwa mpmbaf mana kasaidiwa sana na dem alimpnda lakin mwsho wa sik kamsaliti kwa baba ake zena hatimaye imeishiaa kwa majonz sana
 
Story nzuri muda wote nimeshikilia simu tangu saa tisa uuwi. Sasa amour aliishia kumuoa nani baada ya Zena kuchukuliwa.
Mkuu nadhan amuru atamuoa salma cjui yule mke wake maana hakumpa talaka¡!!ila tunatka kujua maisha ya amuru baada ya zena kuchukuliwa nawale majin wenzakee!!je alirud tena au vip ?kama alirud vip walioana na amuru?kama hapana ilikuuwaje sasa maisha ya amuru??japo imeishia kwa huruma mana nmemwonea huruma sana zena
 
Story hii inaendana na jini uliyezaa nae au ?
 
Mkuu naikumbuka hiyo sinema ilikuwa inaitwa Dostana.
 
Hiyo no hadithi tu sidhani kama no ya kweli nilishaisoma kwenye gazeti LA sani mwaka 2006 yeye kaifupisha tu wala hajamalizia hadithi yote, kwa faida ya wengi ni kwamba baada ya zena/zainush kukamatwa Na wale majini alipelekwa kwa sultani Na alihukumiwa kifungo cha milele ndani ya chupa kisha ikatoswa baharini, Amour hakuoa mke tena wala kurudiana Na salma bado ila alijilaumu kwa kumkosa msichana aliuyemtajirisha kwa vile alikuwa jini, alipata utajiri mwingi akajenga hotel kubwa sana akaamua kuiita zainush hotel ili kumuenzi zena. Baada ya miaka kadhaa kuppita mvuvi mmoja akiwa anavua samaki katika pwani ya mji WA tanga alivua kitu kama chupa au mkebe ambao aliupeleka nyumbani kwake, hiyo chupa ndio zena aliwekwa Na sultan kama adhabu ya kifungo bila kijua kilichopo ndani binti WA yule mvuvi akafungua ile chupa Na zena akaganikiwa kutoka akiwa mzima akamshukuru yule binti kisha akamuahidi kumlipa fadhila. Baada ya hapo break ya kwanza akaenda kwa mpenzi wake armour akamkuta yuko vizuri tajiri Na hajaoa bado .Kwa upande WA amour alimpokea zena kwa Furaha sana baada ya zena kumsimulia mkasa uliompata. Pia alishangaa sana ile hotel aliyoijenga armour Na kuipa jina lake. Mapenzi yakawa motomoto zena hakurudi kwao hadi aliletewa habari za msiba WA yule sultani aliyempa adhabu. Baadae zena alimwambia armour wazae mtoto lakini isingewzekana kuzaaa Na zena kwa sababu alizozitoa yeye zena mwenyewe Ila akamwambia amour atamtafutia mke mwenza yeye mwenyewe ambaye ni binadam mwenzake. Ndipo alipomchukua yule msichana aliyemfungulia ndani ya chupa akalipia mahari kisha amour akamuoa kama mke mdogo. Ni hayo tu kwa ufupi
 
Asante Mkuu sasa ndonimeamini kuw hizi ni fiction tu hakuna maisha ya rahisi kiasi hicho dunia hii
 
Mkuu unaweza kutujuza nani alisimulia au nani mtunzi wa hadith hii kama ilivyokuwa kwenye gazeti la sani. Maana si kwa story hii.
 
Kwa sisi ambao sio wavivu wa kusoma vitabu tunainjoi sana story kama hivi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…