SEHEMU YA 67 Baada ya kama nusu saa hivi yule jini aliyekuja kwanza akarudi peke yake akiwa ameshika bahasha. βBegi lako ni lipi na lipi?β akaniuliza. Nikamuonesha yale mabegi mawili niliyokwenda nayo. Yule jini akayabeba yote mawili kisha akaniambia. βTwendeβ Nikatoka naye katika lile jabali...