wajameni nilikuwa na uhusiano wakimapenzi na mke wa jirani.kila mara huniambia ananipenda sana kuliko mumewe wa ndoa, siku moja nilimwambia kama kweli ananipenda aende akadai taraka ili tuwe pamoja .karudi kwangu anasema tayari kashapewa taraka nimuowe !!!?? simuelewi mwanamke huyu nimchukulie vipi?