Alaf akisha vua hzo nguo unasimamisha au? Mana waweza kuwa unatupa hadthi alaf kumbe we mwenyw tatizo? Kula mzigo kaka uoga wa nin
source please
Tumekuwa katika mahusiano kwa muda lakini hatujafnya tendo zaidi sana ya kutoka out,kujuliana hali na kuwasiliana.
Sasa yeye msimamowake kuwa hataki tendo mpaka tufunge ndoa.
Cha ajabu ni kuwa sasa amekuwa free kwangu kiasi kwamba anakuja geto kulala na anapolala anavua nguo zote lakini anasema tusifanye.
Mimi sipendi kumforce lakin nashindwa kumuelewa kwa kweli maana tujifunika shuka moja.
Sasa najiuliza atakuwa kweli hataki au anataka nimforce?
Hahahaha .... mecheka sana ...
Inaonekana mkaka wa watu masikin cjui hana hisiaaa