Simuelewi huyu Demu

kuna jamaa ake anaempendaa nae jamaa anamzingua hivyo hivyo so demu anakuwa haelewekii...mvumilie si ndo huyo huyo unae pole
 
Umechangia vizuri sana ..ila aya yako ya pili toka mwisho kabla ya swali la unakazi ?

Tambua unalo liona kwako rahisi basi kuna mwingine kwake ni gumu na vise versa sp usidharau anayekuomba ishauri
 
Well... Ila kama umeosoma vzr huo uzi, ndipo utakapo gundua yakuwa bwana mdogo hyupo seriously. Trust me!
 
Akirudi tena na wewe kuwa busy....
Ila jitahid umjue vizuri kazi yake, mazingira yake etc
 
kuna jamaa ake anaempendaa nae jamaa anamzingua hivyo hivyo so demu anakuwa haelewekii...mvumilie si ndo huyo huyo unae pole
Mpe link ya ule uzi wako wa kula tunda kimasihara I guess utamsaidia kwa kiasi flani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…