Simuelewi huyu Demu

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,361
Reaction score
6,966
Sijawasiliana nae kwa njia direct call siku ya 3 sasa nikimpigia simu yake haipokelewi, ukituma text Whatsapp mpaka ijibiwe inachukia hata siku nzima.

Nikaamua kula buyu niendelee na ratiba zang, ghafla akanitafuta akaniambia sorry nilikuwa busy sanaa na issue za ukaguzi, kweli akabadilika akawa anani cheki hewani na kunitext for some days often gaflaaa kabadilika tena karudi kule kule katika ubusy wake.

Walaai laadhim simuelewi huyu mtoto ana rukaruka kama maharage motoni.
 
Kwamba hujastuka ni demu wa mtu vipi mzee we zezeta nini
 
Kitumbua chake kipo kinakaguliwa na mkaguzi mkuu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Tambua thamani yako yakuwa wew n mtu muhimu sana, kuwa naye n kuendlea kupoteza thamani yako. Mwanamke akupendaye kwa dhati #Hawezi kuwa busY, trust me. Kuachana nae n kujiheshimu na kutambua thamani yako.

"Penda kuomba ushauri kwenye mambo magum kias kwamba hata mshauri ashindwe kujua anaanzia wap na sio kwenye jambo kama hili"

Any way unafanya kaz??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…