ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
huawei chukua 120
DAh Pouwa ila 140 napo ni parefu
Anayeitaka 0712166298
Ninayo Huawei Ideos kwa 80000 tuu,
Mbona mmekazana sana kuziuza huawei zimewatenda, nini..?!!
Ninayo Huawei Ideos kwa 80000 tuu,
mkuu Mkweli77 mbna una mambo ya kishamba.?kwanini usingeanzsha thread yako.?
hauon kama huo ni uchokozi wa wazi kwa bwana ngosha2011 .?
kuanzisha thread ni bure tu sio ishu hzo bhana..
ni kubwa ila haina maslai kwangu,maana hiyo simu imetumika kidogo ila kama mpya,
usijishaue hapa na utapeli wako,hizi huawei mpya kwenye box ni 115k kauzie wagambo wenzio kwa bei hyo