S Sugi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,392 Reaction score 295 Dec 25, 2012 #1 jamani simu zangu mbili nokia e71 na htc touch diamond,zimekuwa zikizima na kuwaka sijui tatizo ni nini,mwenye ufahamu na hili naomba anijulishe,je inauhusi ano na mambo ya digital au kuzima simu feki?simu hizi original zote
jamani simu zangu mbili nokia e71 na htc touch diamond,zimekuwa zikizima na kuwaka sijui tatizo ni nini,mwenye ufahamu na hili naomba anijulishe,je inauhusi ano na mambo ya digital au kuzima simu feki?simu hizi original zote
allantence JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 355 Reaction score 303 Dec 25, 2012 #2 kirus kaflash
S Sugi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,392 Reaction score 295 Dec 25, 2012 Thread starter #3 daa,simu zote mbili??hata sijaziunganisha na computer wala,cjaingia net??
M MR. ABLE JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,480 Reaction score 946 Dec 25, 2012 #4 Ni mbwembwe zake tu hizo zinasherehekea Xmas, mwendo wa discolight.
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,377 Dec 25, 2012 #5 za kichina zishatimiza mwaka zinaelekea ku xpire
Michael Mtitu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 693 Reaction score 512 Dec 25, 2012 #6 Usifadhaike, ingia menu > mpangilio wa simu > huisha mpangilio wa kiwandani > ingiza neno la siri > OK. Simu imeshapona
Usifadhaike, ingia menu > mpangilio wa simu > huisha mpangilio wa kiwandani > ingiza neno la siri > OK. Simu imeshapona
P PSM JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 542 Reaction score 126 Dec 25, 2012 #7 Ni original kweli hizo mkuu?pole Naona aanza kuaanda hela ya zingine zikianza hivyo ujue zinakuaga aga
Ni original kweli hizo mkuu?pole Naona aanza kuaanda hela ya zingine zikianza hivyo ujue zinakuaga aga
U Umkomboti Member Joined Jan 5, 2012 Posts 48 Reaction score 3 Dec 25, 2012 #8 MR. ABLE said: Ni mbwembwe zake tu hizo zinasherehekea Xmas, mwendo wa discolight. Click to expand... hahaha wachina nyoko bana
MR. ABLE said: Ni mbwembwe zake tu hizo zinasherehekea Xmas, mwendo wa discolight. Click to expand... hahaha wachina nyoko bana