Ila wabongo mnapenda mteremko sana, kama kitu huna uwezo wa kununua kwanini uchukue na utegemee kujimilikisha.
Europe & America watu magari simu wengi hawanunui cash wanalipa monthly mpaka deni linaisha, hizi huduma haziwezi kufika huku kwa wabongo kupenda janja janja.
Kingine wao wakopeshaji wanaweza kuwapata hata ukiflash hizo, simu tayari taarifa nyingi mmeshawaachia.
Tuache ujanja janja, umekopa lipa deni maisha yaendelee.