NGUVU NDOGO NI IPI
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 909
- 1,046
Kwenye simu yako inatoshaNina Camera ya Nikon itafaa au ni kubwa?
Itatosha vipi sasa.?
Kijana Tecno W5, you can't be serious.
Tafuta Simu.. Na uache kulia lia kwa vitu ambavyo vimeisha Muda wake.
lakini wewe jamaa,kama ni bangi za kusindika nashauri uwe unazitoa kwenye naironi kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23]Nina Camera ya Nikon itafaa au ni kubwa?
Majuzi nilivutia machinjioni sijui ilichanganywa na damu ya ng'ombe!lakini wewe jamaa,kama ni bangi za kusindika nashauri uwe unazitoa kwenye naironi kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana Tecno W5, you can't be serious.
Tafuta Simu.. Na uache kulia lia kwa vitu ambavyo vimeisha Muda wake.
camera utapata mkuu njoo uko mkoa ganiWakuu habari zenu natumai wote mkosalama,
Samahani wakuu Nina simu aina ya Tecno W5 kamera yake ya mbele inazingua inaweka ukungu haionyeshi vizur picha sasa nilikua naulizia kua kuna uwezekano wa kuibadilishia camera nyingine?
kama ni ngumu basi niombe kama mtu umu mwenye simu kama hii mbovu ninashida na camera tu.
Natumai nimeleweka nashukuruni
Sent using Jamii Forums mobile app