Hiyo bei kubwa kwa hali ya sasa...... na simu imeshatumiwa bila kujua ilifanyia uhalifu au nini..
Kwa sababu kwa sasa simu za gharama zikiibiwa watu wanafuatilia TCRA wanai track then wanaipata na aliyenunua anakamatwa wizi na anaisaidia serikali kumpata mwizi.