Wakuu nawasalimien sana.Wakuu niko na hii smu niliyoitaja hapo juu kwa bahat mbaya sana imeshindwa kuperform functions zake just inajizma na ku-disply tu ile logo ya kampuni haiwez kuwa restored.ninaomba kama kuna mtu mwenye ujuz unaoweza kunifaa anipe muongozo tafadhal