Zak Malang JF-Expert Member Joined Dec 30, 2008 Posts 5,404 Reaction score 242 Jun 2, 2010 #21 Hivi muungwana haogopi kutukanwa na baadhi ya wanaompigia? Nadhani hilo limeshatokea. Pia haogopi kunaswa mazungumzo yake na halafu mpigaji akayatangaza, hasa yale yasiyo tija kwa taifa -- yaani pumba?
Hivi muungwana haogopi kutukanwa na baadhi ya wanaompigia? Nadhani hilo limeshatokea. Pia haogopi kunaswa mazungumzo yake na halafu mpigaji akayatangaza, hasa yale yasiyo tija kwa taifa -- yaani pumba?