Mwenye kufahamu jinsi ya kuzuia simu isile sana bando naingia na kuperuzi jamii lakini bando linaenda na hasa hii app jamiiforum inakula sana bando hadi naogopa kuweka bando
Hapo ni kasi ya simu kwenye internet na quality kubwa ya picha na videos unazoangalia mtandaoni,,,lakini pia unatakiwa kufanya setting kama ku disable auto updates play store, data roaming pia set 3g badala ya 4g itasaidia.