we mweusi unapaka makeup nyeupe, ndio maana imepotea. pole sana mkuuya silver ina kava la gold
UmeipatajepatajeNAMSHUKURU MUNGU NA PIA ASANTENI WOTE . NIMEFANIKIWA KUIPATA SIMU YANGU MUDA HUU.
Kabisa pia na mzungu ni mwema ingekuwa tecno na IMEI hauna ungekuwa unatafuta pesa ya kuchukua nyingine.Asanteh sana Mungu ni mwema
Haya nimeacha.Yani acha tu
Mimi sijali utasemaje.... simu niliiangusha na sio kwamba mtu aliniibia...... na niliwachukua askari ninao wafahamu so nia yangu kubwa ilikuwa kuipata simu na sio kumuweka ndani alieiokota maana pia alieiokota amekuja akasema hakuna shidaadvertisement za muuza wa ma iphone wa Ilala
umeikuta iko kwa fundi halafu ikawaje, wakatubu wameiba wakakupa simu?
wacha kamba wewe
Mimi sijali utasemaje.... simu niliiangusha na sio kwamba mtu aliniibia...... na niliwachukua askari ninao wafahamu so nia yangu kubwa ilikuwa kuipata simu na sio kumuweka ndani alieiokota maana pia alieiokota amekuja akasema hakuna shida
Nimeitrack kwa kutumia icloud na imei . Simu nimeikuta ipo kwa fundi ndio Tanga mjini. Ila nashukuru Mungu nimeipat.