hakuana sababu ya kuficha simu kwa mkeo au mpenzi wako, labda uwe wale watu wa intelijensia, vinginevyo wewe utakuwa una mambo yako unajua si mazuri katika jamii unayaficha, mbona wengine wako huru tu na cm zao kwa wake zao au waume zao na wanaishi kwa furaha? kwa nini uishi kama jambazi anayejificha mbele ya polisi, kuwa huru kama mabo yako ni clean.