usishangae kuona teknolojia ina kufikia kwa njia yoyote,kwa kuwa itataka kushindana na ubora hata kisoko kuvutia wateja.
kampuni Zanco imetengeneza simu aina Tiny t1 ambayo uzito wake sawa na 150 grams.
Haturudi tena nyuma... Zamani ndio ingekuwa fashion, saivi mtu anaongea kwa kutumia tablet ya 10 inch anaweka masikioni unataka kumpa icho kidonge cha panadol? wakae nayo wenyewe tu