ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
1. Sony Xperia Z:
[FONT=Verdana, sans-serif]Imepanda kutoka nafasi ya pili ambayo simu hii ilishikilia katika mwezi wa Februari. Sifa kuu za simu hii ni:[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Vielelezo vya hali ya juu[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Haiathiriki na maji (water proof)[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Nyembamba na kubwa [/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Kamera ya megapiksel 13 nayo ni kivutio[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Timescape UI[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Sony Mobile BRAVIA Engine 2[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]2. Samsung I9500 Galaxy S4[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Mafanikio ya Samsung Galaxy SII na SIII.[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Ni simu yenye prosesa yenye core nane (baadhi yake tu)[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Umbile lenye kuvutia [/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Imevuma sana kufuatia uzinduzi wa aina yake.[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Koti la TouchWiz na sifa mbali mbali mpya hasa za kamera na hata simu yenyewe kiujumla. [/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT][FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]3. Apple iPhone 5[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Ina jina (brand name) kubwa, yaani Apple[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Inatumia iOS, ni OS ya kipekee ambayo haipatikani kwenye simu yoyote isiyo iPhone. [/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Inaongozakwa ubora na idadi ya apps ambazo zinapatika kwenye AppStore.[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Inaongoza kwa vifaa (accessories), na hasa vifaa vinavyotumia apps kama vile kipima msukumo wa damu (BP), vifaa vya mazoezi kama Jawbone wristbandna Nike Fuelband, Drone, Mizani na kadhalika. [/FONT]
[/FONT][FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]4. HTC One SV[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Umbile linalovutia[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Bei nafuu mno[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Sauti safi na bora ikiwa na Beats By Dre[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]HTC Sense[/FONT]
[/FONT][FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]5. Sony Xperia ZL[/FONT]
- [FONT=Verdana, sans-serif]Simu hii ina sifa zote za Xperia Z inayoshika namba moja, tofauti kubwa ni kwamba hii haihimili maji (not water proof), na ni fupi na pana kulinganisha na Xperia Z, ingawa zote zina skrini zenye ukubwa sawa, hivyo tofauti ipo kwenye fremu. [/FONT]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]Simu zilizoshikilia nafasi ya sita hadi ya kumi ni:[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]6. Samsung Galaxy i9300 SIII: imepanda kutoka nafasi ya saba.[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]7. Sony Xperia E / E Dual: Imeingia kwenye orodha kwa mara ya kwanza. [/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]8. Apple iPhone 4/4S: imeporomoka kutoka nafasi ya 3. [/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]9. Samsung I8190 Galaxy S III Mini: Imeporomoka kutoka nafasi ya nne.[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]10. [/FONT]Blackberry Z10:[FONT=Verdana, sans-serif] Ni ingizo jipya katika simu 10 bora.[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]iPhone 5, iPhone 4S na Samsung Galaxy SIII ndo simu zilizoporomoka sana mwezi huu, huku Galaxy SIII Mini imeporomoka hadi kutolewa kabisa katika kumi bora hizi. Hata hivyo iPhone 5 imemuda kubaki kwenye nafasi ya tatu nalo si jambo dogo tukizingatia kuwa ni simu yenye miezi sita sokoni kwa sasa. Hii ni kutokana na ukweli kwamba simu mpya zilizozinduliwa kwenye maonyesho ya WMC Barcelona na maonyesho ya CES, Las Vegas baina ya mwezi Januari na Februari ndio zimeanza kufikia idadi kubwa ya mauzo. [/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]Wakati Sony Xperia Z haishangazi kuongoza kwa vile ina sifa ya kipekee muhimu yaani kutoathiriwa na maji, simu unayoshangaza kwa kukosekana kwake kwenye kumi Bora hii ni HTC One, ambayo sio tu ilitarajiwa iwemo kwenye 10 bora bali ilitarajiwa kuchuana na Xperia Z katika kugombania namba moja. Hata hivyo inawezekana sana uzalishaji hafifu ndio sababu ya msingi ya kukosekana kwa simu hiyo.[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]Hoja nyingine ya muhimu ni kwamba katika orodha hii ya simu kumi bora kwa mauzo haina hata simu moja inayotumia OS ya Windows Phone 8. Kwa upande wa OS, orodha hii imetawaliwa na simu saba zinatumia Android, hii inadhihirisha jinsi OS hii inavyotawala mauzo ya simu Ulimwenguni. [/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]Kwa mwaka huu simu mbili tu ambazo hazikutoka bado ndizo zinazotarajiwa kuleta mabadiliko ya kimauzo katika orodha hii, simu hizo ni iPhone 6, iwapo itatolewa na Samsung Galaxy Note 3. Kwa utaratibu wa kawaida Apple mwaka huu walitarajiwa kutoa iPhone 5S, baada ya kutoa iPhone 5 mwaka jana, na iPhone 5S katika ratiba ya kawaida hutoka mwezi wa Septemba. [/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]Hata hivyo katika hali ambayo si ya kawaida mwaka jana Apple walitoa iPad tatu tofauti, yaani iPad 3, iPad Mini na iPad With Retina Display. Miaka ya nyuma yote tangu kuzinduliwa kwa iPad ya kwanza Apple hutoa iPad moja kila mwaka. Hivyo huenda mwaka huu Apple wakatoa simu zaidi ya moja, kinyume na kawaida yao. Ikiwa ni hivyo basi moja kati ya simu hizo huenda ikazinduliwa kwenye mkutano wa WWDC 2013 ambao utatangazwa wakati wowote kuanzia mwezi huu. [/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT][FONT=Verdana, sans-serif]Makala inayohusiana: Xperia Yaongoza Kwenye Kumi Bora
Chanzo: [/FONT]http://www.gajetek.com/
[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]
[/FONT]