sheby daar
New Member
- Nov 23, 2014
- 2
- 0
Simu aina ya tecno p3 inauzwa kwa bei ya Tsh.75000 tuu.. kwa mawasiliano piga 0719514818
AISE 75 NI GHALI au UNAKENGEZA?Ghali sana. Hiyo pesa napata simu bora zaidi... Ukishashuka mpaka laki moja na nusu useme. Au kwa bei hiyo tafuta hawa watu wa escrow
AISE 75 NI GHALI au UNAKENGEZA?