Nauza simu aina ya htc one m8
Specs 🙁mpya full box na vitu vyote vipo)
Processor- 2.3Ghz
Internal memory- 32GB
External memory up to 128GB
Water resistance
Scratch resistance
RAM 2GB
OS-android kitkat 4.4.3
Bei -950,000/=
Simu hii dukan inauzwa 1.30M hadi 1.58 M
Pia ina speed kubwa ya internet kwa sababu ina support 4G
Contact: 0714012984
kwenye cm kuna 2g, 3g, 4g,h, R,h+ nk so inategemea na eneo ulipo vyote vinaweza tokea kwenye smart fon yako na kila kimoja kina sifa yake katika speed ya internet kwenye sm yako
Namsaidia muuzaji:
Inasupport 4G ILA KWA SASA TZ BADO HAKUNA PROVIDER WA CELLULAR ANAETOA 4G ingawa Voda washafanya test ila mbaaaadooooo sanaaa kuanza kutumikaa
Namsaidia muuzaji:
Inasupport 4G ILA KWA SASA TZ BADO HAKUNA PROVIDER WA CELLULAR ANAETOA 4G ingawa Voda washafanya test ila mbaaaadooooo sanaaa kuanza kutumikaa