Samsung R5570 screen touch ina 2week toka niinunue ni ya 2line ila inaprogram zote za original kama internet yenye kasi ya ajabu na mambo mengine mengi bei ni sh70000/=tu mi niko mwanza mjini na namba zangu ni 0764339400.changamkia ofa hii
Nenda pale Rweagasore kama unaenda kituo cha daladala za kwende Kiseke kuna wanunuzi wengi wa simu,kile kimchochoro cha maduka ukitokea pale kwenye hoteli ya aliyekuwa mbunge kabla ya Masha