theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,715 Feb 7, 2019 #21 kidusani said: lete usd 150 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kenge ww unaifahamu hiyo USD 150
kidusani said: lete usd 150 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kenge ww unaifahamu hiyo USD 150
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,943 Reaction score 12,507 Feb 13, 2019 #22 Jamaa mi hata nashindwa kukuelewa. Hv haohao unaowatukana ndio unategemea wanunue huo mzigo wako au. Unapewa ushauri unajifanya mjuaji. Kumamae kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa mi hata nashindwa kukuelewa. Hv haohao unaowatukana ndio unategemea wanunue huo mzigo wako au. Unapewa ushauri unajifanya mjuaji. Kumamae kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,277 Reaction score 9,443 Feb 13, 2019 #23 Msemachochote said: Jamaa mi hata nashindwa kukuelewa. Hv haohao unaowatukana ndio unategemea wanunue huo mzigo wako au. Unapewa ushauri unajifanya mjuaji. Kumamae kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hajielewi,na hajajua watu kwanini wanamzingua huyu dogo na kimeo chake
Msemachochote said: Jamaa mi hata nashindwa kukuelewa. Hv haohao unaowatukana ndio unategemea wanunue huo mzigo wako au. Unapewa ushauri unajifanya mjuaji. Kumamae kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hajielewi,na hajajua watu kwanini wanamzingua huyu dogo na kimeo chake
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,939 Reaction score 2,847 Feb 13, 2019 #24 Akili ni nywele kila mtu ana zake Huyu mleta tangazo ameshindwa kuelewa ni kwa nini watu Wanamwambia mara simu kioo kina ufa, mara simu imechakaa anakurukupuka na kutukana Hao wanamaanisha Tangazo lako halina picha ya hiyo simu unayouza Dah kazi ipo Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ni nywele kila mtu ana zake Huyu mleta tangazo ameshindwa kuelewa ni kwa nini watu Wanamwambia mara simu kioo kina ufa, mara simu imechakaa anakurukupuka na kutukana Hao wanamaanisha Tangazo lako halina picha ya hiyo simu unayouza Dah kazi ipo Sent using Jamii Forums mobile app